Natafuta Suzuki carry

Natafuta Suzuki carry

Zecky

Member
Joined
May 30, 2012
Posts
5
Reaction score
1
Iwe chini ya mil5
4wd
Mwenye nayo anitumie picha whatsap 0759292980
 
Utauziwa body mkuu.


Suzuki carry zimekuwa deal sana siku hizi,huwezi kupata kwa bei hiyo..
 
Kupata anapata sema asitake gari kwa bei hyo iliyosawa na ya mln 9 ya yard...mm nnayo moja inauzwa 4.5m na iko vizuri tu
Utauziwa body mkuu.


Suzuki carry zimekuwa deal sana siku hizi,huwezi kupata kwa bei hiyo..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom