Natafuta starlet iliyotembea chini ya km 100,000

Natafuta starlet iliyotembea chini ya km 100,000

Mkuu, nenda jukwaa la Matangazo Madogo. Humu stress za job hunting tu.
 
mh! cjui kama utaipata kwa ndani ya nchi labda uagize, coz nnayotumia Mimi imeingia bongo na km 90 elf na ushee
ukikosa nicheck nkupe ya kwangu ina mia 38
 
Back
Top Bottom