Kama kichwa kinavyosema
Spacio 2002 and above
Mintcondition,fullvibali
Lowmilage
Nomber c au d,D itapewa kipaumbele
Dau m6 maongezi kidogo yapo
Nicheki kwa picha WhatsApp 0656800446 nije na fundi tukague gari tuchukue mzigo.
Kama kichwa kinavyosema
Spacio 2002 and above
Mintcondition,fullvibali
Lowmilage
Nomber c au d,D itapewa kipaumbele
Dau m6 maongezi kidogo yapo
Nicheki kwa picha WhatsApp 0656800446 nije na fundi tukague gari tuchukue mzigo.
Hauko sirias jamaa'ngu, hela yako sio ndogo ila kwa masharti yako huwezi pata hyo gari kwa bei hyo na ukilipata kama ni namba C nenda kalifanyie diagnosis kwanza, km lina low mileage itakuwa zimeshushwa!! Namba D sahau kwa hela na vigezo ulivovitaja!!