Natafuta soko la ukwaju,

NTABO wa NTABO

Senior Member
Joined
Jun 25, 2017
Posts
191
Reaction score
221
Husika na mada tajwa , ninauza ukwaju kwa bei ya 1000 kwa kilo,inaweza pungua, utauchukulia shinyanga mjini, kwa wale wa zanzibar,dar au popote tujuzane, pande za azam bei iko vipi? msimu tayari! ukwaju ni mwingi zaidi ya tani kumi kuvunwa. zaidi 0652886184
 
Mother Confenssor, Hahahaha, Iko Changanya Those Words, Can You Join Me For Tamarind Indica Market Search,?
 
Unakuwa tayali usha menywa ama
 
Ndio umeshamenywa tayari,,,kwa mwaka huu ni mchache sana,,,nitakusanya kwa oda maalum,,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…