I idorome Member Joined Apr 19, 2012 Posts 28 Reaction score 7 Jun 12, 2014 #1 Wanajamvi habari ya mihangaiko ya maisha, Nilikua nauliza wapi nitapata soko la mihogo? Mimi niko Mkuranga ila naogopa walanguzi, ninazo heka 2 mihogo safi kabisa hata hapa ndio napata wa mchana na maziwa ya mgando.
Wanajamvi habari ya mihangaiko ya maisha, Nilikua nauliza wapi nitapata soko la mihogo? Mimi niko Mkuranga ila naogopa walanguzi, ninazo heka 2 mihogo safi kabisa hata hapa ndio napata wa mchana na maziwa ya mgando.
A.Abdon JF-Expert Member Joined Nov 22, 2013 Posts 217 Reaction score 38 Jun 12, 2014 #2 Soko lake kubwa Comoro
I idorome Member Joined Apr 19, 2012 Posts 28 Reaction score 7 Jun 12, 2014 Thread starter #3 unaweza nipa idea wananunuaje na je taratibu gani za kufwata kupeleka mzigo, na je ni kwa njia gani ya usafiri
unaweza nipa idea wananunuaje na je taratibu gani za kufwata kupeleka mzigo, na je ni kwa njia gani ya usafiri
Mwamba028 JF-Expert Member Joined Nov 15, 2013 Posts 4,648 Reaction score 3,807 Jun 12, 2014 #4 Nenda pale buguruni kafanye utafiti mdogo kuhusu bei na uwadodose baadhi ya wanunuaji ila sio madalali, ukiona inakulipa unaupeleka
Nenda pale buguruni kafanye utafiti mdogo kuhusu bei na uwadodose baadhi ya wanunuaji ila sio madalali, ukiona inakulipa unaupeleka