Nimekua nikiuza mchele hapa Dar es salaam kwa muda mrefu sana na bei inategemea na sehemu ambapo mnunuzi atapanga afikishiwe. Mfano: Kwa Dar es salaam bei ni 1050-1800 kulingana na makubaliano. Kwa mimi pia mnunuzi itabid achague ni mchele wa aina gan anaouhitaj maana mchele unapangiwa bei kulingana na muonekano wake na pia mbegu iliotumika. nikimaanisha kwa kiasi icho cha tan52 sio aina moja ya mchele. Kwaio bei itakua ni kukubaliana