dreams and visions Member Joined Jul 8, 2017 Posts 95 Reaction score 29 Dec 14, 2017 #1 Natafuta mtu anaehitaji mawe ya Green Aventure au mtu anayeweza kuniunganisha na soko tukafanya biashara. Mawe haya nnayo mengi na kama yakihitajika zaidi naweza kuyachimba. Mawe yapo Mkoani Manyara-wilaya ya Babati.Karibuni.
Natafuta mtu anaehitaji mawe ya Green Aventure au mtu anayeweza kuniunganisha na soko tukafanya biashara. Mawe haya nnayo mengi na kama yakihitajika zaidi naweza kuyachimba. Mawe yapo Mkoani Manyara-wilaya ya Babati.Karibuni.
dreams and visions Member Joined Jul 8, 2017 Posts 95 Reaction score 29 Dec 14, 2017 Thread starter #3 Mafuta us kampuma said: Upo wap Click to expand... Npo Babati-Manyara..Karibu.