Ndugu usijiloge ukapeleka matunda yako Azam bila Ruksa yao, Hakika Utafeli yataoza na utabaki kulialia.
Cha muhimu uConfirm na kiwanda kwanza kama wako tayari kununua huo mzigo.
Pili mzigo huo ni mdogo sana kama kuna jirani pia wanayo na unauwezo wa kupata kama Tani 50, Tafadhali Ni PM tufanye mchakato wa kuuza kwa Azam.