Natafuta social work kwenye NGOs

Luccy Godwin

Member
Joined
Feb 15, 2013
Posts
20
Reaction score
0
Nina shahada ya ADULT AND COMMUNITY EDUCATION kutoka chuo kikuu cha Dar es salaam kwa sasa nipo kahama, contact:Luccy_8@hotmail.com
 
Kama ni she nitakusaidia... ni pm kama ni he usijisumbue hatakuni pm...
 
Kama ni she nitakusaidia... ni pm kama ni he usijisumbue hatakuni pm...
kumbe na wewe ni boooyaaaaa....??? unawaza chini tu...utasoma plate number tu...
 
unasubiri utu?
endelea kusubiri utu katika century hii ya 21

kiongoz, ni kheri kuwa maskin wa mali lakin ukawa tajili wa hekima, busara ukiachia mbali Elimu ya darasani, utajili unanunuliwa hata hapa mjini upo(Freemason) ,hivyo ni maamuzi ya m2, usimcheke na kumdharau m2 ndugu.

much dissapointed,think critically and judge as a gentlemen.
 
kama ni she nitakusaidia... Ni pm kama ni he usijisumbue hatakuni pm...
kati ya watu ambao ni ovyo wasiokuwa na haya basi nawewe ni mmoja wao.ila bora hata wewe kwa kuwa umeamua kuuanika upimbi wako.chunga sana hii ni sehemu ya kusaidiana ktk kujenga wala siyo kuvunja jiheshimu sana wewe kizazi cha .com
 
Kama ni she nitakusaidia... ni pm kama ni he usijisumbue hatakuni pm...

What goes around comes around...kw hayo unayoyafanya kama haitakuja kumtokea mke wako basi mwanao au mamayako. Watch ur step
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…