robby1classic
Member
- Dec 3, 2014
- 22
- 0
Naitaji simu ya smart phone iwe na uwezo mzur... cash nina laki moja..napatikana Dar es salaam Tegeta kwa ndevu...
Iwe na uwezo mzuri kivipi sasa!?Naitaji simu ya smart phone iwe na uwezo mzur... cash nina laki moja..napatikana Dar es salaam Tegeta kwa ndevu...
UsedIwe na uwezo mzuri kivipi sasa!?
Unahitaji mpya au used!?
Faster faster kanunue Tecno ya 99,000.
Hiyo ndo natumia mkuuNjoo uchukue huawei 300 ASSEND
What u mean bro....Lazy people,lazy ideas