Natafuta simu ya bei nafuu(smartphone)

Parasite

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
613
Reaction score
580
Za asubuh wanajamvi?ni matumain yangu mungu amewaamsha salama,bila yakuwasahau wale waliopo mahospitali polen na mungu aonekane juu yenu.kwa kifupi wadau mimi ninatafuta simu (smartphone) itakayo kidhi mahitaji yafuatayo
1:Fanya internet update
2:16GB memory and above
3:android update
4:kaa na chaji muda mrefu
5:internet access iwe juu sana
6:RAM 2GB or more
7😛rocessor iwe kubwa kidogo
8:rear camera 10mp or more.
Nina cashe 250000 kwa yeyote aliye nayo plz tuwasiliane ninapatikana Arusha ila kama itapatikana maeneo kuzunguka hapo tuwasiliane,maeneo kama DSM,PWANI,TANGA,MOSHI,ARUSHA,MONDULI,NAMANGA,na NAIROBI.ahsanten na nawatakia asubuhi njema.tupeane taarifa plz kwa lolote linalohusiana na hili.
 
nipe specifications zake coz czijui
 
kuna S4 new brand laki tano(500,000) in full box
contact me through 0653178857,0763734071
 
Kwa dau lako tegemea kushikishwa bonge la kimeo na usirudi kuomba msaada humu
 

Ushauri wa bure; utaingizwa chaka kwa specifications zako hizo na dau lako hilo, labda iwe ya juu kwa ju ambazo hata hivyo ni ngumu kupata

BTW hivi username huendana na uhalisia wa mtu?
 
tatizo watu tunashindwa kuutambua nakuuheshimu uhuru wa mtu,hili ni jukwaa huru na ndiomaana hata nmaoni yako mtu hawezi kuyazuia wengine wasiyasome,mshukuru sana mungu kwakukupa uhai ila muombe akupe akili na ufahamu ili unapoandika tena maoni utumie akili.
 

nichek hapa nikupe s3 mpya ful box kwa hela hiyo 0714547830

kuna S4 new brand laki tano(500,000) in full box
contact me through 0653178857,0763734071

mtu umepewa namba alafu bado unaendelea kumuuliza jamvini. .ndio nini sasa
mpigie aisee


Alikushauri vizuri lakini, ingekuwa hakuna namba za simu mngeendelea kuwasiliana hapa jamvini
 
nashukuru nimekuelewa nitalifanyia kazi.
 
fanya manunuzu ebay bana yan simu ya 250 ni kubwa sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…