Natafuta simu mpya aina ya LG G6

botafongo jr

Senior Member
Joined
Aug 13, 2013
Posts
107
Reaction score
17
Habarini!
Natafuta simu mpya LG G6.

Mwenye kuuza aweke na bei kabisa,
asante
 
Kwa msaada zaidi kwa simu mpya nenda dukani mkuu
Fuata huu ushauri mkuu,ni hatari sana kununua simu vichochoroni,simu zina mambo mengi sana,jichange ununue simu mpya tena hakikisha inakua ipo sealed kwenye box lake.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…