Mlendamboga JF-Expert Member Joined Sep 14, 2011 Posts 668 Reaction score 347 Sep 6, 2016 #1 natafuta simu MFOX A8 AU A11 ni military mobile phone kutoka China nimeipenda, nipo tayari kununua bei isizidi 1 milion
natafuta simu MFOX A8 AU A11 ni military mobile phone kutoka China nimeipenda, nipo tayari kununua bei isizidi 1 milion
lup JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 2,514 Reaction score 2,743 Sep 6, 2016 #2 Ina vitu gani vilivyokufurahisha
elmagnifico JF-Expert Member Joined Jul 7, 2011 Posts 8,260 Reaction score 9,743 Sep 6, 2016 #3 Mlendamboga said: natafuta simu MFOX A8 AU A11 ni military mobile phone kutoka China nimeipenda, nipo tayari kununua bei isizidi 1 milion Click to expand... Mfox A8 china kwenyewe ni usd 1,350 labda mkuu kamata mfox j5
Mlendamboga said: natafuta simu MFOX A8 AU A11 ni military mobile phone kutoka China nimeipenda, nipo tayari kununua bei isizidi 1 milion Click to expand... Mfox A8 china kwenyewe ni usd 1,350 labda mkuu kamata mfox j5
Mlendamboga JF-Expert Member Joined Sep 14, 2011 Posts 668 Reaction score 347 Sep 8, 2016 Thread starter #4 lup said: Ina vitu gani vilivyokufurahisha Click to expand... Ina vitu vingi kaka kuanzia uimara, uwezo wake kuhimili mazingira ya maji, matope, ikadondoka ghafla, tukija kwenye app humo ndani ina vitu vingi sana
lup said: Ina vitu gani vilivyokufurahisha Click to expand... Ina vitu vingi kaka kuanzia uimara, uwezo wake kuhimili mazingira ya maji, matope, ikadondoka ghafla, tukija kwenye app humo ndani ina vitu vingi sana
Mlendamboga JF-Expert Member Joined Sep 14, 2011 Posts 668 Reaction score 347 Sep 8, 2016 Thread starter #5 elmagnifico said: Mfox A8 china kwenyewe ni usd 1,350 labda mkuu kamata mfox j5 Click to expand... Ngoja nifanye mazungumzo kuna binti wa kichina nilikuwa naye kwa muda wa mwezi mmoja amerudi kwao anichekie namna bora ya kuwezesha iniifikie nikiinunua kule, Elmagnifico unayajuaga haya madubwasha kiongozi!!!
elmagnifico said: Mfox A8 china kwenyewe ni usd 1,350 labda mkuu kamata mfox j5 Click to expand... Ngoja nifanye mazungumzo kuna binti wa kichina nilikuwa naye kwa muda wa mwezi mmoja amerudi kwao anichekie namna bora ya kuwezesha iniifikie nikiinunua kule, Elmagnifico unayajuaga haya madubwasha kiongozi!!!