malogi1976
JF-Expert Member
- Apr 22, 2016
- 297
- 168
Mkuu wakati Nasoma Kidato Cha Sita Tabora Boys Kule Kuna Shule moja ya Mchaga inaitwa THEMI HILL Hebu angalia Matokeo yake ni Shule Bora kwa Tabora halafu Cheap Sana ada yake siyo kubwa kwa mtoto wako mimi mwenyewe soon akianza shule huyu mtoto wa Dada ya (Mwanangu) nitampeleka Huko ila inawastani naona wa 60.Habari zenu...naomba msaada kuna mtu anajuwa kama kuna shule tabora mjini za kiingereza mtoto yupo darasa la kwanza.napendelea ya kiingereza sababu alizaliwa nje halafu na tz watoto wanaendelezwa vizuri na hiyo lugha.ahsanteni
Thanks allen nikienda ntaicheki ila siku hizi shule muhimu kwa mtoto kuna competition sanaMkuu wakati Nasoma Kidato Cha Sita Tabora Boys Kule Kuna Shule moja ya Mchaga inaitwa THEMI HILL Hebu angalia Matokeo yake ni Shule Bora kwa Tabora halafu Cheap Sana ada yake siyo kubwa kwa mtoto wako mimi mwenyewe soon akianza shule huyu mtoto wa Dada ya (Mwanangu) nitampeleka Huko ila inawastani naona wa 60.
Kwa Tabora Mtihani wa Darasa la 7 mwaka 2015 Themi Hill ilishika nafsi yast francis ipuli
Hapana THEMI HILL ipo Ipuli karibu na Mnadani na Inapakana na St. Francis Mliki wa shule ni Mzee mmoja anaitwa Mambo.Kuna THEMI HILL ipo kariakoo mkabala na barabara inayoenda kariakoo sekondari hadi kwihala. kuna nyingine ipo ipuli inaitwa Saint Francis.
http://necta.go.tz/matokeo/xyx_xxx123/results/shl_p1903072.htm Kila laheri mkuuThanks allen nikienda ntaicheki ila siku hizi shule muhimu kwa mtoto kuna competition sana
Westland prep& primary schoolkuna shule moja ya mhindi ipo kipalapala jina nmelisahau, ukipita tabora boys' kwa chini kabisa. kwa tabora naona ipo vizuri kwani nami kuna mdogo wangu anasoma huko.
Themi Hill haipo kariakoo..! IPO ipuli,Westland ndio ipo kariakoo..!!Allen punguza bange Themi hill ipo kariakoo karibu na machinjio, kila siku madogo walikuwa wanapita na gari yao wewe unakula kande DH.
Igunga ndo Tabora mjini? wana wana CHADEMA nao Mbona Uchaguzi Ulishapita ! kila kitu siasa tuu.Mpeleki St.Leone Igunga kama hutojali,ni wa kwanza pale Tabora
kuna shule moja ya mhindi ipo kipalapala jina nmelisahau, ukipita tabora boys' kwa chini kabisa. kwa tabora naona ipo vizuri kwani nami kuna mdogo wangu anasoma huko.
Mkuu wakati Nasoma Kidato Cha Sita Tabora Boys Kule Kuna Shule moja ya Mchaga inaitwa THEMI HILL Hebu angalia Matokeo yake ni Shule Bora kwa Tabora halafu Cheap Sana ada yake siyo kubwa kwa mtoto wako mimi mwenyewe soon akianza shule huyu mtoto wa Dada ya (Mwanangu) nitampeleka Huko ila inawastani naona wa 60.
Hivyi igunga na tabora mjini kuna umbali wakuendesha kila siku au ..ni mtoto mdogo simpeleki boarding.atakuwa anaenda na kurudiMpeleki St.Leone Igunga kama hutojali,ni wa kwanza pale Tabora
Igunga ni kama 225KM from taboraHivyi igunga na tabora mjini kuna umbali wakuendesha kila siku au ..ni mtoto mdogo simpeleki boarding.atakuwa anaenda na kurudi
Mbali sana ntabakia na tabora mjini..thanks anywayIgunga ni kama 225KM from tabora