Kwa wenyeji au wanaoifahamu vizuri Kigamboni na maeneo jirani, naomba mnisaidie kujua shule inayofanya vizuri kimaadili na kitaaluma. Shule hiyo iwe ya bweni, kwa wavulana au mchanganyiko, pia viwango vyao vya ada. Nitashukuru kupata msaada katika hilo.
Fly Louis Amigo christian sec school ni shule nzuri inayoendeshwa kwa maadili ya kikatoliki ipo kigamboni TUNGI ni ya kutwa na bweni wavulana na wasichana kwa upande wa ada sina ufaham zaid

Kuna shule inaitwa chichidodo ina maadili sana, ata kitaluuma iko juu, lishe ndo balaa watoto wanakula vizuri kweli. Asubuhi wanakula chai na zambarau, mchana wali na uji wa mchele, usiku wanamilizia na mihogo ya pilipili na chumvi ya uvinza.