athumanishapu Member Joined Oct 25, 2017 Posts 71 Reaction score 51 Dec 2, 2021 #1 Kuna MTU nataka nimsomeshe ila uwezo wangu wa kumlipia ada usizidi 1,500,000 kwa yeyote anaejua shule yenye gharama ninayoiweza kuimudu anisaidie nitafurahi zaidi ikiwa ndani ya Dar
Kuna MTU nataka nimsomeshe ila uwezo wangu wa kumlipia ada usizidi 1,500,000 kwa yeyote anaejua shule yenye gharama ninayoiweza kuimudu anisaidie nitafurahi zaidi ikiwa ndani ya Dar
itakiamo JF-Expert Member Joined Nov 1, 2014 Posts 1,087 Reaction score 1,896 Dec 2, 2021 #2 Mtu ndo nani , be specific in mdogo wako, in jirani yako, in mke wako au mchumba