Habari wanaharakati wenzangu natafuta mtu amabaye ana experience katika masuala ya chakula tufanye kazi pamoja vifaa vyote vipo vya chips, chakula na machine ya juice ya miwa kama upo interested na upo seriously nicheck Asante.
Sent using
Jamii Forums mobile app