Mi nina heka 2.5 maeneo ya Kibaha kwa Mathias, shamba liko km 8 toka barabara ya lami (karibu na Jeshi la Nyumbu).
Bomba la maji liko mita 50 toka shambani, pia upande mmoja wa shamba una pakana na mto (source nzuri ya kuvuna maji kwa matumizi mbali mbali)
Bei yangu ni Tsh. 12mil. Ukihitaji ni pm