Natafuta shamba Arusha maeneo ya Mlangarini/Manyire

Otorong'ong'o

Platinum Member
Joined
Aug 17, 2011
Posts
39,446
Reaction score
29,854
Habari midaa hii wadau wa JF

Kwa wale wakazi wa Arusha, natafuta Shamba la kununua kama Heka 3 maeneo ya Mlangarine au Manyire.....Mwenye kujua naomba anipe msaada...

Wasalaaam
 
P
Habari midaa hii wadau wa JF

Kwa wale wakazi wa Arusha, natafuta Shamba la kununua kama Heka 3 maeneo ya Mlangarine au Manyire.....Mwenye kujua naomba anipe msaada...

Wasalaaam[/QUOTE

UTAPATA PM
 
Duuh....Parefu....

siwezi pata Heka mbili kwa 12Mil
Ardhi ya kule ina rutuba sana, pamoja naupatikanaji wa maji kwa urahisi, na ujenzi wa barabara ya East Africa umefanya thamani ya ardhi huko kupanda sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…