Natafuta selcom

Grey38

Member
Joined
Jul 20, 2015
Posts
28
Reaction score
2
Mwenye mashine ya kuuzia luku, kulipia maji, vifurushi, nk anitafute... nina ofa ya 200000 cash. Niko mail moja. Piga namba 0719 222 900
 
Mwenye mashine ya kuuza luku, kulipia maji (dawasco), vifurushi mbalimbali, nk anitafute. Ofa ya mezani 200, 000. Piga namba 0719 222 900
 
ukiipata kwa hiyo ofa yako nijulishe nikupe ya nyongeza
 
Kuna app ya selcom playstore ,naona ina-function vzr tu kama kwenye hyo machine japo sikuwahi kuitumia kufanya miamala niliishia kudownload na kuichek inavyofanya kazi
 
Kuna app ya selcom playstore ,naona ina-function vzr tu kama kwenye hyo machine japo sikuwahi kuitumia kufanya miamala niliishia kudownload na kuichek inavyofanya kazi
Thanks kwa ushauri... ingawa mimi nataka mashine yenyewe kuwa si mimi nitaitumia
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…