Natafuta sehemu ya kuvolunteer

Kichungwa

Member
Joined
Dec 18, 2012
Posts
6
Reaction score
0
natanguliza salamu zangu wadau ... mim ni graduate kusema kweli after kumaliza chuo nimekuwa nkijitahid sana kuaply kaz zingne online zingne mguu kwa mguu mpaka ofsin lakin cjabahatika kupata mpaka leo had now nimepungza spid ya kuaply napata mawazo meng sana na kukaa home nako c mchezo sa ndugu zangun naomben msaada wenu angalau nipate hata tempo au kijisehem cha kuvolunteer napewa nauli ntashukuru sana mi niko na degree ya masscomunication pia nina experience katika mambo ya marketing kwa atakae kuwa interested nami plz tuwacliane! asanten
 
Duh!mkuu hujawahi kuitwa hata interview?naomba kujua GPA yako maana kuna sehemu wanataka trainee.
 
Duh!mkuu hujawahi kuitwa hata interview?naomba kujua GPA yako maana kuna sehemu wanataka trainee.

mkuu na mimi kama bdo kuna chance huko wanapotaka trainees nishtue na nipe email yako kwa pm au hata hapa.Nina gpa ya 3.5 nimesoma computer science natanguliza shkurane
 
Kumbe wanataka watu wa business admn au marktng
mkuu na mimi kama bdo kuna chance huko wanapotaka trainees nishtue na nipe email yako kwa pm au hata hapa.Nina gpa ya 3.5 nimesoma computer science natanguliza shkurane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…