Natafuta sehemu ya field kwa IT

felijose

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
201
Reaction score
59
Natafuta sehemu ya kufanya field mwezi wa saba .... Kwa system design and implimentation na programming kwa for both java and android java...
 
Utapata tu! ila Bongo na makampuni ya software inabidi utatafute asa
 
hiyo shunghuli,unaweza ukaingia sehem kama ucc ukalipia ukawa unasoma,ukafanya kama field yako.
 
Unalipia kama shilingi ngapi kaka??
 
hiyo shunghuli,unaweza ukaingia sehem kama ucc ukalipia ukawa unasoma,ukafanya kama field yako.
amesema anataka sehemuu ya kwenda kufanyia mazoezi mafunzo kwa votendo yake, wewe unataka tena kwenda kumrudisha darasani.....!!!
 
amesema anataka sehemuu ya kwenda kufanyia mazoezi mafunzo kwa votendo yake, wewe unataka tena kwenda kumrudisha darasani.....!!!

sehemu kama hizo pia zina mafunzo kwa vitendo,siku hizi kupata field ni kazi sana inakuwa kama unaomba kazi vile. Cheki open university, na softnet.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…