Abuu Kauthar
JF-Expert Member
- Jul 10, 2011
- 4,505
- 6,903
Kichwa cha habari kinajieleza. Iwe mpya kama used basi iwe in meant condition (full accessories) kwa bajeti ya 400k. Kama unayo njoo pm chap chap
Ipo kwa 600k
Tab s
Ninayo wadau bei 500000
hio ni ipi maana tab s ina 32gb
mnapataga wapi ujasiri wa kununua ptoducts za itelTablets prime it1702
200000
mkuu mi ninayo imepasuka kioo ila kwa bei hiyo mkuu fikiria kidogo coz myself nilinunua for ¥3700Kichwa cha habari kinajieleza. Iwe mpya kama used basi iwe in meant condition (full accessories) kwa bajeti ya 400k. Kama unayo njoo pm chap chap
Tab S SM-T705 unayo? , make ya wapi? mediatek au exynosIpo kwa 600k
3700 ni Tsh ngapi?mkuu mi ninayo imepasuka kioo ila kwa bei hiyo mkuu fikiria kidogo coz myself nilinunua for ¥3700
1.1M, tas s sm-t705c ina 32gb3700 ni Tsh ngapi?