Natafuta Runx au Allex

D-nation

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2017
Posts
200
Reaction score
99
Za mida wakuu, kama kichwa kinavyo jieleza, moja wapo ya hizo gari nahitaji

[emoji117] isiwe imepata ajali
- Low/medium mileage /isiwe imetumika sana
- Iiwe B, iwe C iwe D zote sawa
- isiwe na case na serikal ya Magufuli, kama ipo, tutafwekana kwenye bei ya kununulia

(NB: Offer yangu mil 7--6.5)

WhatsApp/call 0652567568
 
Ambayo haijatumika sana huwezi ipata kwa bei hiyo
 
Mkuu kama unataka ambayo ipo ktk hali nzuri Ongeza mzigo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…