Naomba ramani ya chumba kimoja cha futi 12kwa 16 huo ni ukubwa wa chumba tu kiwe na choo na seble nadhani nimeeleweka .
Ukubwa wa chumba futi12kwa 16
Ukubwa wa choo futi 4,kwa8
Ukubwa wa sebule futi4kwa8,
Naomba mchoro mzuri
Sent from my TECNO-J8 using
JamiiForums mobile app