Nimesema hivyo namaanisha nikimpigia cm apokee , cpendi ile nipo na fulani ucpige, mara amezima cm , mara hapokei bila sababu ya mcngi , ndio maana nikasema awe tayali mm nampenda sana mtu mkwel na muwazi