mbenda said
JF-Expert Member
- Apr 13, 2019
- 1,083
- 2,099
Mm NI mwanamme ndio maana nikasema ctaki wa kuwa nae ktk mahusiano kwa maana ninae wangu .nae awe huru akiwa na mume sawa akiwa na mchumba sawa.Jinsia yako ni ipi
Ishi na wazo lako, ila miaka ya zamani niliwai kupata rafiki wa kike kupitia magazeti ule urafiki niliufurahia sana na tulikaa kwa miaka 3 hatukuwai kuonana maana alikuwa mbali na mkoa niopo mm, kupitia yeye nikahamiana na watu wengine lkn pia kupitia mm akafahamiana na watu wengine kama kaka zangu nk, tuliishia kwa miaka 10 akaja akaolewa numewe akawa hailewi nikachaana nae urafiki lkn. Hata cku moja hatukuwai kujadili au kuwaza kuingia ktk mahusiano cc kwa ccMarafiki hawatafutwi bali wanakuja katika maisha yako na kondoka "automatically"
Mdogo wangu, dunia ya zamani sio sawa na sasa. Humu mitandanoni kuna watu wabaya sana. Inawezekana hata mimi Infantry Soldier ni mtu mbaya sana (sio mtu mzuri). Utakuja kuingizwa katika mitandao ya wahalifu kwa kutaka taka kuzoeana na "strangers"Ishi na wazo lako, ila miaka ya zamani niliwai kupata rafiki wa kike kupitia magazeti ule urafiki niliufurahia sana na tulikaa kwa miaka 3 hatukuwai kuonana maana alikuwa mbali na mkoa niopo mm, kupitia yeye nikahamiana na watu wengine lkn pia kupitia mm akafahamiana na watu wengine kama kaka zangu nk, tuliishia kwa miaka 10 akaja akaolewa numewe akawa hailewi nikachaana nae urafiki lkn. Hata cku moja hatukuwai kujadili au kuwaza kuingia ktk mahusiano cc kwa cc
Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
Dogo pendwa kama dogo pendwa!Marafiki hawatafutwi bali wanakuja katika maisha yako na kondoka "automatically"
Endelea kuwaza akili inavyokutumaNaomba mkeo awe rafiki yangu, nakuahidi kwa roho moja sitamgegeda.. Namba yake nitumie inbox, please trust me
Katika maisha kuna mitaji mikubwa mitatu;Marafiki hawatafutwi bali wanakuja katika maisha yako na kondoka "automatically"
Mkuu kwanza mm sio dogoMdogo wangu, dunia ya zamani sio sawa na sasa. Humu mitandanoni kuna watu wabaya sana. Inawezekana hata mimi Infantry Soldier ni mtu mbaya sana (sio mtu mzuri). Utakuja kuingizwa katika mitandao ya wahalifu kwa kutaka taka kuzoeana na "strangers"
Sawa. Basi mimi ndio rafiki yako wa kwanzaMkuu kwanza mm sio dogo
Nashukuru kwa ushauli wako,
Isipokuwa ipo hivi ,cc tunaoishi ktk jamii ndio cc tupo humu humu ktk mitandao ya kijamiii , sasa basi hata huku mtaani wahalifu wapo wengi sana tena wa aina tofauti , lkn pia hata huku ktk mitandao tupo wastarabu ,
Ukikutana na mtu chukua tahadhali lkn muamini pia lolote linaweza kutokea ,
Wangapi wameibiwa na wake zao,
wangapi wameibiwa na watoto zao
Wangapi wameibiwa na waume zao
Wangapi wameibiwa na watu waliowaamini kwa miaka kibao
Wizi au uhalifu wa mtu yeyote ni tabia au tamaaa na sio kila mtu anaibiwa au kutapeliwa
Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Upo sahihi kabisa ,Katika maisha kuna mitaji mikubwa mitatu;
1. Health capital
2. Human capital
3.Financial capital
Mitaji yote hii inaongezwa kwa kuitafuta kwa juhudi usiku na mchana, afya yako unatakiwa kuitetea usk na mchana, mtaji wa watu, unatakiwa kuwekeza kwa watu usk na mchana, upate watu wengi ambao watakuwa direct or indirect connected na other capitals.
Financial capital najua hapo unajua kwa kinaa sana.
To summarise it, ni kwamba mitaji yote mitatu inahitaji kutafutwa kwa juhudi zote, hakuna mtaji utakaokuja kwa kudra za mwenyezi Mungu bila jitihada na Sala.
Asante!!!