M mbatiani Member Joined Mar 12, 2015 Posts 7 Reaction score 5 Mar 15, 2015 #1 Natafuta rafiki wa kike kwaajili ya kubadishana mawazo hasa yahusuyo mahusiano na ndoa pamoja na mambo mengine ya kimaisha. warafiki wa kiume ninao wengi sana! sifa za msingi: miaka 18 hadi 25. elimu ni darasa la saba hadi first degree.
Natafuta rafiki wa kike kwaajili ya kubadishana mawazo hasa yahusuyo mahusiano na ndoa pamoja na mambo mengine ya kimaisha. warafiki wa kiume ninao wengi sana! sifa za msingi: miaka 18 hadi 25. elimu ni darasa la saba hadi first degree.