Angelicious
JF-Expert Member
- Apr 5, 2012
- 869
- 499
Nashukuru besti kusikia hilo... afu ujue wewe bado ni mke wangu! wala sio X!
Tambua hilo.. sawa mama?
em kula ngoma hii kwanza then utafakari...!
am gud am gud..thenx kwa kunimissHahahaaa!!! huu sasa ujasiliamali jamani...!
mambo vp lakini Vai... excel kakumiss jamani!
am gud am gud..thenx kwa kunimiss
He!! miss neddy yuko wapi?
Umekosa nini kwangu,kuazia sasa gemu asubuhi,mchana na usiku naona kukupa kauhuru kidogo imekuwa shidaaah!
Utaaniii? utani gani huo namrembulia macho et mkumbushie nitamtoa mtu ubongo humu ndanHapana mupenzi ilikuwa ni utani tu, siwezi kukusaliti kamwe me kwako nimefika piga ua sibanduki asilani