Bint jewels video ushawekewa mm natoa vinywaji pata burudan Excel let's celebratehahahaaa!! usijali jewels! hata kuni-mention bado hujaweza besti... naitwa E X C E L !
umeona ilivyo rahisi eenh?
by the way, nimefurahi kukutana na wewe leo, unaishi wapi vile mamii?..
PM me if its Private and Confidential!
Mkuu ningekupa dada yangu ila huko lindi kila msimu wa korosho mnaoa mke mwingine.
hahahaaa!! usijali jewels! hata kuni-mention bado hujaweza besti... naitwa E X C E L !
umeona ilivyo rahisi eenh?
by the way, nimefurahi kukutana na wewe leo, unaishi wapi vile mamii?..
PM me if its Private and Confidential!
mchumba tuma nauli basi nije...ni laki na 70 tu
Hahahhahaha exel simu yangu haina "c "
hahahaaa!! usijali jewels! hata kuni-mention bado hujaweza besti... naitwa E X C E L !
umeona ilivyo rahisi eenh?
by the way, nimefurahi kukutana na wewe leo, unaishi wapi vile mamii?..
PM me if its Private and Confidential!
pole mamii, niambie basi uko mkoa gani?
afu usiniambie ushafika 30!
Mpe kijana dadako atakuletea korosho mkuu
usimbanie dadako
Ayaaa kuna hatari ya kukosa mwenza...labda tuanze na umri wako Excel
Me too my dear Angelicious...
mishe tu za jijini ndio zimeniweka bize sana my X!
vipi mishe zako huko besti? mzima lakini?
Dada yangu mwnyw si ww
Ha ha ha my bro u know my status
We don't match for sure na huyu jamaa
Line parallel never meet
hahahaaa!! usijali besti, mi bado damu inaruka ruka ndani ya mishipa... ndio kwaaaaanza nakimbilia miongo miwili na nusu toa moja! lol
(kama hujui hesabu mamii hapo kazi unayo!).. ila usijali, tunaweza kuendelea kuwa marafiki... mie naishi kwa watoto wa mbwa mwitu... lol!
Me mzima my x nashukuru Mungu, kama hujambo ndo furaha yangu
Hahahaha unachagua enhe!?
unafanya kazi gani?ushajenga mchumba?
Ha ha ha Hapana umri umenitupa kaka
Si umeona excel kashataja umri wangu