Natafuta rafiki wa kike

WINCH

Member
Joined
May 3, 2016
Posts
71
Reaction score
23
Habari zenu wanaJF, Rejea kichwa tajwa hapo juu.

Nipo hapa kutafuta rafiki wa kike Umri 30 - 39 kwa ajili ya urafiki na kubadilishana mawazo.

Aliye tayari aniPM, ili tuanze urafiki huo haraka iwezekanavyo.

Nawatakia siku njema.

Ahsanteni
 
Tatizo ni nini ?
Au dhumuni lako haswa ni nini?
 
Ni urafiki wa kawaida tu ndugu? Najiuliza ka ni kubadilishana mawazo tu kwanin sio na wa kiume? Ungesema tu ukweli kama wengine kwamba unatafuta wa kukuliwaza
 
Ngoja waje mkuu wewe lazima utakua DOMOZEGE
 
Tatizo ni nini ?
Au dhumuni lako haswa ni nini?
Mkuu kwanza hakuna tatizo
Pili dhumuni langu ni kumpata rafiki wa kike kama nilivyoeleza hapo juu
 
Ni urafiki wa kawaida tu ndugu? Najiuliza ka ni kubadilishana mawazo tu kwanin sio na wa kiume? Ungesema tu ukweli kama wengine kwamba unatafuta wa kukuliwaza
Ndio mkuu ni urafiki wa kawaida, hayo unayosema kuniliwaza ni personal
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…