yani we ndo sio kabisa!Yaaani na wewe upo jukwaa hili na unatafuta mchumba kweli tusome elimu itusaidie kutukomboa .Mke mwema anatoka kwa bwana "
Hello,
Najitokeza hapa kutafuta rafiki wa kike kwani naamini anapatikana popote pale.Napenda rafiki huyo awe mkristo mwenye kumjua Mungu, awe mkweli na mwenye malengo ya maisha. Asizidi miaka 28.Asiwe mfupi.
Mimi nina umri wa miaka 29, ni muajiriwa serikalini, napatikana Dsm.Mambo mengine tutafahamishana.
Kama upo interested ni pm.
Mm ni mrefu that's y!!! I am about 182cm highKwa maana hyo wafupi hatuna nafasi hapa
Kha!!!
Una height nzr,.can you pm me plzzz....Mm ni mrefu that's y!!! I am about 182cm high