wazabangah1
JF-Expert Member
- Jul 16, 2014
- 315
- 114
Awe dead or alive??
hehehee
Mimi wazabanga natafuta rafiki wa kike mwenye sifa zifuatazo
. awe ni msema ukweli, ila palipo na uhitaji wa kudanganya asisite afanye hivyo
.elimu awe angalau kidato cha nne nakuendelea
.asiwe ni mtu wamaswali mengi Sana yatanifanya nishindwe kumuelewaa
.kwa mengine mengi ani pm ilitwende sawa.
Nashukuru kwa utulivu wenu, #nawasilisha
Duuh... Sasa kwa nini unaogopa maswali jamani?
SAsa Mkuu wewe unaishi ktk. Touba, Rafiki wa kike wa nini?
mi natafuta lakin pamoja na sifa zoote mwisho awena angalau na miaka 32-40 je unayo tuongee vizuri
Sheeedah!! Nenda kijijini kwenu sitimbi ukaoe mtoto wa mzee Domonongwa!!