Natafuta rafiki wa kike popote

pondiboy

Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
81
Reaction score
29
Si mara yangu ya kwanza kujitokeza hapa katika jukwaa hili.
Natafuta rafiki wa kike anayejitambua, awe matured kiakili na kimwili! napenda mtu mkweli mcha Mungu wa kweli, mwenye elimu ya kidato cha sita na kuendelea.. asiwe above 28yrs old, asiwe mfupi plz maana mm pia sio mfupi.
Lengo ni kuwa marafiki ikimpendeza MUNGU tuendelee na hatua nyingine.

Mimi nina 30yrs old. Ninafanya kazi halahi inayonipatia mkate wa kila siku.
kama upo interested basi ni pm tutafahamiana zaidi..

Note: sio utani wala sihitaji mizaha kama halikuhusu basi pita kimyaa
 
Labda nikupe girl friend wangu wa zamani
 
Nikajua urafiki tu wa kawaida kumbe kuna malengo hapo mbeleni [emoji26] [emoji26]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…