Master A. Mdachi
Member
- Jul 22, 2014
- 21
- 3
Habari zenu ndugu marafiki, mimi ni jamaa ambaye nimekosa rafiki wa kike kwa kipindi kirefu sasa, kutokana na wengi wao kuniogopa.
Kwa hali hiyo nimeona nichukue fursa hii kutafuta rafiki wa kike ambaye ni jasiri wa kutoogopa Rafiki wa kiume kama mimi.
Aliye tayari kuwa rafiki yangu asisite kunitumia ujumbe.
Asante natarajia kupata jibu la kuridhisha kutoka kwa rafiki mrembo yeyote yule mwenye ujasiri.

Mimi najitokeza kuwa rafiki yako........ni juzi tu nimetoka kuua mtu alitaka kuniibia pochi........nadhani nina ujasiri wa kutosha.........

Kwa nini unaogopwa?
kwa nini unaogopwa?
alaf wewe jana umeniuz ujue
ana muhogo wa jang'ombe ndo maana anahitaji mwanamke jasiri kama wewe vp upo tayari?
Ina maana huo muhogo wa jang'ombe anautembeza nje? Sasa hao wanaomuogopa wanajuaje??
nishaogopa na mimiHabari zenu ndugu marafiki, mimi ni jamaa ambaye nimekosa rafiki wa kike kwa kipindi kirefu sasa, kutokana na wengi wao kuniogopa.Kwa hali hiyo nimeona nichukue fursa hii kutafuta rafiki wa kike ambaye ni jasiri wa kutoogopa Rafiki wa kiume kama mimi.Aliye tayari kuwa rafiki yangu asisite kunitumia ujumbe.Asante natarajia kupata jibu la kuridhisha kutoka kwa rafiki mrembo yeyote yule mwenye ujasiri.