MwanawaMUNGU41 JF-Expert Member Joined Jun 15, 2015 Posts 1,052 Reaction score 749 Oct 11, 2016 #1 Natafuta rafiki wa kawaida wa kiume awe na umri wa miaka kuanzia 40-70, awe mstaarabu, mkweli, muwazi na mpenda maendeleo. Kama uko tayari ni pm please
Natafuta rafiki wa kawaida wa kiume awe na umri wa miaka kuanzia 40-70, awe mstaarabu, mkweli, muwazi na mpenda maendeleo. Kama uko tayari ni pm please
makua JF-Expert Member Joined Dec 9, 2013 Posts 208 Reaction score 40 Oct 11, 2016 #2 Umri ndo tatizo kwangu ila sifa zote ninazo
Behaviourist JF-Expert Member Joined Apr 8, 2016 Posts 39,924 Reaction score 95,729 Oct 11, 2016 #3 Huo ni ujanja ujanja wa kutafuta mchumba/mume!.........ila usihofu utapata!
MwanawaMUNGU41 JF-Expert Member Joined Jun 15, 2015 Posts 1,052 Reaction score 749 Oct 11, 2016 Thread starter #4 Behaviourist said: Huo ni ujanja ujanja wa kutafuta mchumba/mume!.........ila usihofu utapata! Click to expand... mume anatafutwa mtandaoni? umenichekesha sana
Behaviourist said: Huo ni ujanja ujanja wa kutafuta mchumba/mume!.........ila usihofu utapata! Click to expand... mume anatafutwa mtandaoni? umenichekesha sana
cbebe Member Joined Oct 6, 2016 Posts 66 Reaction score 55 Oct 11, 2016 #5 nimbagonza said: mume anatafutwa mtandaoni? umenichekesha sana Click to expand... Huwa wananoga wa mtandaoni, maana kila kitu cha uongo
nimbagonza said: mume anatafutwa mtandaoni? umenichekesha sana Click to expand... Huwa wananoga wa mtandaoni, maana kila kitu cha uongo
M Mjep JF-Expert Member Joined Oct 28, 2014 Posts 11,721 Reaction score 34,880 Oct 12, 2016 #6 nimbagonza said: Natafuta rafiki wa kawaida wa kiume awe na umri wa miaka kuanzia 40-70,awe mstaarabu,mkweli,muwazi na mpenda maendeleo. Kama uko tyr ni pm plz Click to expand... Punguza umri kidogo basi watu tujinyakulie rafiki
nimbagonza said: Natafuta rafiki wa kawaida wa kiume awe na umri wa miaka kuanzia 40-70,awe mstaarabu,mkweli,muwazi na mpenda maendeleo. Kama uko tyr ni pm plz Click to expand... Punguza umri kidogo basi watu tujinyakulie rafiki
Malafyale Platinum Member Joined Aug 11, 2008 Posts 13,897 Reaction score 11,292 Oct 12, 2016 #7 nimbagonza said: Natafuta rafiki wa kawaida wa kiume awe na umri wa miaka kuanzia 40-70,awe mstaarabu,mkweli,muwazi na mpenda maendeleo. Kama uko tyr ni pm plz Click to expand... Mm nina sifa zote Dume la Mbegu haswa Ni PM namba yako pls tuanze yetu
nimbagonza said: Natafuta rafiki wa kawaida wa kiume awe na umri wa miaka kuanzia 40-70,awe mstaarabu,mkweli,muwazi na mpenda maendeleo. Kama uko tyr ni pm plz Click to expand... Mm nina sifa zote Dume la Mbegu haswa Ni PM namba yako pls tuanze yetu
Kidowle JF-Expert Member Joined Oct 10, 2016 Posts 1,484 Reaction score 3,260 Oct 12, 2016 #8 Hivi mwanamke anaweza sema ana rafiki wa kiume eeh kama rafiki tu. Ok
omereyo JF-Expert Member Joined Oct 20, 2012 Posts 308 Reaction score 91 Oct 12, 2016 #9 Mimi mpnz wangu hatanielewa.....maana uliniona tu utanipenda.taratibu utanimendea
kobokocastory JF-Expert Member Joined Aug 30, 2014 Posts 1,076 Reaction score 1,272 Oct 12, 2016 #10 cbebe said: Huwa wananoga wa mtandaoni, maana kila kitu cha uongo Click to expand... Khaaaaaa......,!!
cbebe said: Huwa wananoga wa mtandaoni, maana kila kitu cha uongo Click to expand... Khaaaaaa......,!!
nkobanks JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 681 Reaction score 401 Oct 12, 2016 #11 Me punguza umri -10 ukitoa naweza kuwa na sifa ya kuwa rafik yako tena rafik mpenz kabisah
busy bees JF-Expert Member Joined Aug 26, 2016 Posts 2,249 Reaction score 1,348 Oct 13, 2016 #12 nimbagonza said: Natafuta rafiki wa kawaida wa kiume awe na umri wa miaka kuanzia 40-70,awe mstaarabu,mkweli,muwazi na mpenda maendeleo. Kama uko tyr ni pm plz Click to expand... Urafiki huo wa KAWAIDA mipaka yake ni ipi ? ..... maana wengine hufikia hatua wanaanza kuvuana nanihiiiiiiiiiiii
nimbagonza said: Natafuta rafiki wa kawaida wa kiume awe na umri wa miaka kuanzia 40-70,awe mstaarabu,mkweli,muwazi na mpenda maendeleo. Kama uko tyr ni pm plz Click to expand... Urafiki huo wa KAWAIDA mipaka yake ni ipi ? ..... maana wengine hufikia hatua wanaanza kuvuana nanihiiiiiiiiiiii
Django Doer JF-Expert Member Joined Jun 30, 2023 Posts 2,865 Reaction score 5,244 Jul 5, 2024 #13 nimbagonza said: Natafuta rafiki wa kawaida wa kiume awe na umri wa miaka kuanzia 40-70, awe mstaarabu, mkweli, muwazi na mpenda maendeleo. Kama uko tayari ni pm please Click to expand... Kitambo sana
nimbagonza said: Natafuta rafiki wa kawaida wa kiume awe na umri wa miaka kuanzia 40-70, awe mstaarabu, mkweli, muwazi na mpenda maendeleo. Kama uko tayari ni pm please Click to expand... Kitambo sana
B Benny Haraba JF-Expert Member Joined Dec 7, 2012 Posts 15,656 Reaction score 14,618 Jul 5, 2024 #14 nimbagonza said: Natafuta rafiki wa kawaida wa kiume awe na umri wa miaka kuanzia 40-70, awe mstaarabu, mkweli, muwazi na mpenda maendeleo. Kama uko tayari ni pm please Click to expand... Ni pm wewe, nataka kujua km unaweza kunivunjia barafu
nimbagonza said: Natafuta rafiki wa kawaida wa kiume awe na umri wa miaka kuanzia 40-70, awe mstaarabu, mkweli, muwazi na mpenda maendeleo. Kama uko tayari ni pm please Click to expand... Ni pm wewe, nataka kujua km unaweza kunivunjia barafu