Silicon Valley
JF-Expert Member
- Mar 6, 2012
- 1,092
- 1,119
[emoji22] [emoji15] [emoji27] [emoji22] [emoji23] [emoji23] no comment [emoji30] [emoji40]afadhali nipumzike upweke huu
kama wewe ni muslim ni pm kwa urafiki
usiniwangie wewe kaka ahahaa[emoji22] [emoji15] [emoji27] [emoji22] [emoji23] [emoji23] no comment [emoji30] [emoji40]
Hahahaha kibabu gagula Mshanausiniwangie wewe kaka ahahaa
Mambo missafadhali nipumzike upweke huu
kama wewe ni muslim ni pm kwa urafiki
Umechagua umri sahihi sana nakuombea, ila hapo ongezea maneno haya .....ili baadae awe Mchumba na hatimaye mke. Haya yanakoleza winoAm above 40 yrs, natafuta rafiki / mpenzi mwenye hofu na Mungu, mjasriamali au mfanyakazi anayejitoshereza na kujiheshimu, umri up to 35 yrs
yeyote alie tayari kuanza huu urafiki anaweza ni PM
Sponsor unamuacha,maana wewe mume wako pesa.afadhali nipumzike upweke huu
kama wewe ni muslim ni pm kwa urafiki
Sema nikupatie boosterusiniwangie wewe kaka ahahaa
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]kwani nawe bado? [emoji87] [emoji87] [emoji87]ngoja nijaribu bahati yangu
Unaniharibia ujue[emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81]Hahahaha kibabu gagula Mshana
ushawai kuniona nikimdate?Sponsor unamuacha,maana wewe mume wako pesa.
sio kila mtyu anapenda kuoa mkuu ..muacheUmechagua umri sahihi sana nakuombea, ila hapo ongezea maneno haya .....ili baadae awe Mchumba na hatimaye mke. Haya yanakoleza wino
[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]sio kila mtyu anapenda kuoa mkuu ..muache
mimi nimempenda hivohivo rafiki/mpenzi[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
Atuambie kwanza kuwa yeye ana cheo gani cha ubachelor!!.......Huyu siyo field Marshall kweli???afadhali nipumzike upweke huu
kama wewe ni muslim ni pm kwa urafiki
huyu ndo namtaka huyu akija mwambie anipmAtuambie kwanza kuwa yeye ana cheo gani cha ubachelor!!.......Huyu siyo field Marshall kweli???