Natafuta rafiki ( a girlfriend )

Derick Elisha

New Member
Joined
Nov 29, 2017
Posts
4
Reaction score
1
kama kichwa cha habari kinavyojieleza, natafuta rafiki ambaye atakuwa mshauri kwangu haswa haswa katika suala zima la maisha, sijali umri jinsi wala rangi ili mradi awe na hofu ya Mungu na mkweli. Mengi zaidi tukiwasiliana atayajua
 
Bora wewe huchagui awe na flatscreen pouwa, sio kama akina gudume & team fisi wote and co.ltd eti wanataka vyura nyooooo! Ukute wana vidagaa, ahaaa (kidding)
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…