Chungu cha bibi
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 525
- 166
Mi ninayo ps3 mpya nina iuza na cd zake pamoja na boksi lake....
ninayo ps2 , yenye sifa utakazo.
ina memory yake.
inacheza games za kwenye flash.
inacheza games za kwenye cd..
kuhusu bei jihukumu...
napatikana zanzibar but ukitaka nikusafirishie, nitafanya hivyo but atakae ileta mtamalizana wenyewe juu ya chochote kitu.
DONE!!!!!!
Mi nita kufanyia 450 pamoja na cd zakee
C una jua cd za ps3 expensive moja ina uzwa laki moja xo mi nita kupa na cd moja ya fifa...
kaka mimi sikupewa chochote cha ziada,,mengine yote nilifanya mwenyewe..kuhusu bei jipangie tu..Bei yake vipi?inakuja na games gani?
kaka mimi sikupewa chochote cha ziada,,mengine yote nilifanya mwenyewe..kuhusu bei jipangie tu..
Ina2mia cd
karibu mkuunakupm mkuu.
nakupm mkuu.
Nicheck pm nakupa ps 3 iliyokuwa cheaped na michezo mitano ndani yake ambayo ni latest
Natafuta laptop.