konabar
Member
- Apr 18, 2018
- 25
- 19
Kama kichwa kinavyo jieleza natafuta pikipi aina ya boxer au tvs used muuzaji awe na documents na iwe in good condition....kwa mengi zaida njoo inbox ... ukiona umempa mtu boda azungushe na aleti marejesho bora utupe mabahari nasitukupe kijipesa upunguze machungu... bora nusu hasara kuliko hasara kamiliii nawasilisha ... zaidi kwa watu wa dar au njombe ukija inbox nitumie pichaaa nione chombo kabla ya negotiation...nawasilisha