Anazo za aina gani na bei zake ni zipi? Bajeti millioni moja hivi!Jaribu kuweka model tofauti za bei tofauti tofauti tafadhali1 Au kama vipi weka namba yake tafadhali!
Kwani mwanzo wa bei zake ni ngapi! binafsi ningependa kununua moja na uwezo wangu hauniruhusu kununua mpya wala iliyochoka sana, so ingekuwa vzr kama ungeweka angalau bei ya kuanzia
ipo lexmark ambayo ni photocopy , printer na scanner pia kuna kyocera ila anasema kuna mtu ameshaweka order hajatoa hela akishindwa kulipa atanijulisha