B Baba Matatizo JF-Expert Member Joined May 5, 2011 Posts 334 Reaction score 64 May 9, 2011 #1 Habar wana JF.Natafutat PC ya kununua.Iwe na 40gb HDD,ram 512.Pesa niliyonayo ni shilini laki mbili!
mojoki JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 1,313 Reaction score 291 May 9, 2011 #2 kuna sehemu wanauza PC kisha wanakupa na printer bure zamtumba...nadhani ni kwenye laki mbili na themanini au chini ya hapo 80gB jaribu kuni PM nikupe namba ya simu kisha unipigie nikupatie maelekezo kama utakua interested
kuna sehemu wanauza PC kisha wanakupa na printer bure zamtumba...nadhani ni kwenye laki mbili na themanini au chini ya hapo 80gB jaribu kuni PM nikupe namba ya simu kisha unipigie nikupatie maelekezo kama utakua interested