Natafuta patner wa kufanya nae biashara

Natafuta patner wa kufanya nae biashara

Mwani

Member
Joined
Mar 8, 2013
Posts
35
Reaction score
21
Habari za weekend poleni na majukumu, natafuta mtu wa kufanya nae biashara ya hoteli karibu na stend mpya ya mabasi yaendayo mkoani kwa aliyetayari aniandikie kwa email kyelilucas@yahoo.com
 
ipo maeneo gani hiyo stendi?partner awe na capital au yeye atatoa management skill yake?wewe unatoa nini katika hiyo business?
 
Unataka mfanye biashara ya aina gani mkuu.
 
Mimi nina jengo ambalo linaweza kufanza hoteli wote tunashare kila kitu mkuu
ipo maeneo gani hiyo stendi?partner awe na capital au yeye atatoa management skill yake?wewe unatoa nini katika hiyo business?
 
Stend ya mabasi ya ubungo inapohamia mbezi luis karibia na kanisa la roman.
 
Kuwa makini utalizwa huko kimara mbezi kuna matapeli sana
 
Awe na hera kisi gani na mkataba wa mika mingapi mkuu
 
sijakuelewa bongolala, huyo partner unataka awe anafanya vitu gani mkuu, awe na sifa zp? naomba ufunguke zaidi!
 
sijakuelewa bongolala, huyo partner unataka awe anafanya vitu gani mkuu, awe na sifa zp? naomba ufunguke zaidi!

Mkuu mbona jamaa ameeleweka vizuri tu, ni kwamba yeye ana jengo lakini hana mtaji wa kutosha lakini ameona oportunity ya kufanya biashara nzuri ya Hotel kama atakuwa na mtu mwenye access ya pesa, badala ya kumpangisha anataka wafanye kama ubia ili wagawane faida na hasara. Kama ishu inavutia unaenda kucheki mazingira na maelewano, nadhani kama ulishawahi kufanya kazi kwa ubia itakuwa rahisi zaidi kumwelewa!
 
Back
Top Bottom