Tysher JF-Expert Member Joined Mar 26, 2013 Posts 207 Reaction score 78 Oct 7, 2014 #1 Habari wadau! Msaada waungwana,natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya Ukonga mpaka G'mboto. Iwe self,ina vyumba vya kulala kuanzia viwili,sebule,jiko,maji yawe karibu na parking. Ikiwa na fens itakua safi zaidi.
Habari wadau! Msaada waungwana,natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya Ukonga mpaka G'mboto. Iwe self,ina vyumba vya kulala kuanzia viwili,sebule,jiko,maji yawe karibu na parking. Ikiwa na fens itakua safi zaidi.