Iwe na vyumba vitatu (of course one should be master), maji yasiwe shida. Preferably iwe na fence ili niweze kulaza ndinga langu ndani. I am ready to pay monthly kodi of Tsh250,000 kwa instalments za miezi sita sita. Maendeo ninayoyapendelea ni kama Sinza, Mabibo, Tabata, Segerea, Ukonga.