Bintiwangara
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 551
- 287
Natafuta Nyumba jamani,,,,,,,ofa yangu maximum laki moja .iwe chumba na Sebure chumba kiwe Master , ndani ya fence Maeneo ya Dar es salaam, kuanzia ubungo ,kimara Rombo au Msewe pawe na maji na gari lifike kwa urahisi . Umeme mita inayojitegemea
Hilo nalo neno ,,thanxUende pole pole dada;
Kabla haujalizwa;
Jiji halifai hili.
Hata ikiwa bei itazidi siyo mbaya je kuna sehemu umepaona?Jinsi ulivyo andika vigezo halafu kwa laki 1??????
Hata ikiwa bei itazidi siyo mbaya je kuna sehemu umepaona?
Sijaona popote
Kaka SaaMbovu nisaidie jamani.
Ukipata kwa Laki moja uje nikulipie.ofa yangu maximum laki moja .iwe chumba na Sebure chumba kiwe Master , ndani ya fence Maeneo ya Dar es salaam, kuanzia ubungo ,kimara Rombo au Msewe pawe na maji na gari lifike kwa urahisi . Umeme mita inayojitegemea
njoo
kama VP ni pm tuongee biashara!
Uende pole pole dada;
Kabla haujalizwa;
Jiji halifai hili.
,Jamani nisaidieni ndugu yenu,,nihamie mjini namimi,huku ngara kumenishinda.ofa yangu maximum laki moja .iwe chumba na Sebure chumba kiwe Master , ndani ya fence Maeneo ya Dar es salaam, kuanzia ubungo ,kimara Rombo au Msewe pawe na maji na gari lifike kwa urahisi . Umeme mita inayojitegemea