Tabutupu JF-Expert Member Joined Nov 26, 2010 Posts 13,262 Reaction score 18,713 Dec 21, 2013 #1 Naomba nisadie kwa yoyote anaye jua nyumba nzuri ya kupangisha.. Kwa mwezi iwe walau laki 3..
C clasi JF-Expert Member Joined May 5, 2013 Posts 379 Reaction score 726 Dec 22, 2013 #2 Ndugu Tabutupu "NYUMBA NZURI" kwa laki 3 unahitaji maeneo ganI? ipo moja maeneo ya kipawa karibu na kituo cha polisi. Piga 0787142343 uliza benja
Ndugu Tabutupu "NYUMBA NZURI" kwa laki 3 unahitaji maeneo ganI? ipo moja maeneo ya kipawa karibu na kituo cha polisi. Piga 0787142343 uliza benja
Tabutupu JF-Expert Member Joined Nov 26, 2010 Posts 13,262 Reaction score 18,713 Dec 23, 2013 Thread starter #3 clasi said: Ndugu Tabutupu "NYUMBA NZURI" kwa laki 3 unahitaji maeneo ganI? ipo moja maeneo ya kipawa karibu na kituo cha polisi. Piga 0787142343 uliza benja Click to expand... asante mkuu, nitakucheck... ila ningependa zaidi maeneo ya kuanzia tabata hadi kimara...
clasi said: Ndugu Tabutupu "NYUMBA NZURI" kwa laki 3 unahitaji maeneo ganI? ipo moja maeneo ya kipawa karibu na kituo cha polisi. Piga 0787142343 uliza benja Click to expand... asante mkuu, nitakucheck... ila ningependa zaidi maeneo ya kuanzia tabata hadi kimara...
N nkululeko JF-Expert Member Joined Jul 24, 2013 Posts 275 Reaction score 94 Dec 24, 2013 #4 Tabutupu said: Naomba nisadie kwa yoyote anaye jua nyumba nzuri ya kupangisha.. Kwa mwezi iwe walau laki 3.. Click to expand... Tabata utapata..nyumba nyingi ni kuanzia tatu mpaka nne..ukienda tu kwa madalali utapata..tena nzuri na mpya
Tabutupu said: Naomba nisadie kwa yoyote anaye jua nyumba nzuri ya kupangisha.. Kwa mwezi iwe walau laki 3.. Click to expand... Tabata utapata..nyumba nyingi ni kuanzia tatu mpaka nne..ukienda tu kwa madalali utapata..tena nzuri na mpya
bily JF-Expert Member Joined Apr 5, 2012 Posts 8,029 Reaction score 5,815 Dec 24, 2013 #5 Kama unataka Tabata utapata alafu pako shwaari hamna tabia za kiuswahili ila huko Kimara vibaka wengi sn.
Kama unataka Tabata utapata alafu pako shwaari hamna tabia za kiuswahili ila huko Kimara vibaka wengi sn.