eretzisrael JF-Expert Member Joined Jul 9, 2016 Posts 331 Reaction score 476 Feb 25, 2018 #1 Habari zenu wakuu nipo Arusha kikazi ila soon nitahamia Mwanza, naomba kuuliza je kwa Mwanza maeneo ya Buswelu au Nyakato chumba double self nitapata kwa shilingi ngap kwa mwezi..asanteni
Habari zenu wakuu nipo Arusha kikazi ila soon nitahamia Mwanza, naomba kuuliza je kwa Mwanza maeneo ya Buswelu au Nyakato chumba double self nitapata kwa shilingi ngap kwa mwezi..asanteni