Natafuta nyumba ya kupanga yenye vyumba viwili, moja ya chumba kiwe master, choo cha public, jiko seble, paving blocks, alminium window n.k
Ofa nnatoa laki mbili mpaka mbili unusu...Nahitaji kanzia muda huu mpaka kabla ya mwisho wa mwezi huu....eneo liwe tulivu, pasiwe na mabucha ya nguruwe na baa