Maeneo ya Mbezi kupata nyumba yenye sifa hizi: (Iwe nyumba ya kujitegemea(si ya kushea) Vyumba 2 hadi vitatu, Maji muhimu, parking. master, sebule, dining na jiko) ni jambo gumu kama lile la ngamia kupenya kwenye tundu la sindano. Nimeambatanisha picha za apartment ya chumba, sebure, jiko ambayo ni ya kushare ambayo bei yake ni shs 250,000/=. Pia nimeambatanisha nimeambatanisha sifa ya nyumba uanyohihitaji ambayo bei yake ni USD 1000. ongeza pesa ifikie at least 550,000 nikupatie nyumba hapo mbezi. anyway unaweza kupata kwa muujiza :welcome: